TRENDING NOW

Ngazi ya mafanikio katika maisha imewekwa mikononi mwako na ngazi ya kufeli pia iko mikononi mwako.

Hebu jiulize kuhusu FURSA MAKINI ya kuwa na kipato cha ziada/biashara unayomiliki wewe na bado inakupa nafasi/uhuru wa kufanya shughuli nyingine bila ya karaha, tena popote pale bila ya kujalisha uko ofisini au nyumbani.
Fursa hiyo haiko kwingine zaidi ya ORIFLAME ambapo huku, unatengeneza pesa, unafurahia maisha, uhuru wa kipato na kazi/biashara yako, kukutana na marafiki halisi wa kimaendeleo na kujenga mtandao mpana wa biashara na zaidi NAFASI ya kusafiri maeneo mbalimbali ulimwenguni kote bila kikomo.

Kaulimbiu yetu (IRINGA ORIFLAME) ni "MAFANIKIO NI WEWE"

Karibu kwenye ulimwengu wa mafanikio.
Jiunge kupitia 0768642161

Wako,
Neema Mollel - Senior Manager
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii.
Instagram ni @neema_mollel au @iringaoriflame
Facebook ni Iringa Business and Cosmetics Consultants au Iringa Oriflame

Twitter ni @neemaoriflame.
KARIBU!

"Maisha yanapokupa sababu ya kufurahi basi furahi haswa ili hata siku ukiumia ile furaha utakayoikumbuka izibe pengo la maumivu hayo!" - Neema Mollel, 2017 Machi 25.

Nina sababu ya kufurahi kwsababu #oriflame wamefanikisha ndoto zangu na nina uhakika juu ya uhuru wa kipato na mtandao wa rafiki wanaofahamu nini maana ya mafanikio licha ya changamoto nyingi za maisha tunazokabiliana nazo.

Karibu sasa tujumuike kwenye mafanikio haya.
Wasiliana nami kupitia namba  +255768642161
#oriflame #oriflame50 #life #success #makemoney

Tayari niko RAMADA Resort, Dar Es Salaam wapendwa,
Ningependa kukushirikisha fursa hii kutoka ORIFLAME.

Unapenda kufurahia maisha?
Kuwa na marafiki wanaofahamu nini maana ya mafanikio?
Hebu fanya jibu lako liwe ni NDIYO kisha jumuika nami Ramada Hotels jijini Dar Es Salaam ambapo wana ORIFLAME tumekutana kwa pamoja kufurahia maisha na kujenga misingi imara ya ujasiriamali na kipato endelevu.

Oriflame fursa. Ratiba ya mafunzo.

SIKU: Jumamosi (siku ya kwanza)
Hii ni ratiba ya mafunzo kwa wiki hii siku ya Jumamosi kuhusu fursa na nafasi ya kufurahia maisha na kuongeza kipato cha ziada.

AWAMU YA 1.
MUDA: SAA 4:00 asubuhi.
Tutazungumzia yafuatayo.
*Utambulisho wa kampuni
*Fursa zinazopatikana katika kampuni
*Ushuhuda

6:00 mchana - MAPUMZIKO

AWAMU YA PILI
MUDA: 10:00 mchana hadi 12:00 jioni.
*Sehemu 1.
Fursa ya kipato na oriflame.

*Sehemu 2.
- Namna ya kuendeleza/kuwa na fursa hii.

- Kipi cha kufanya baada ya hapo.

AWAMU YA 3.
MUDA: 2:00 usiku - 4:00 usiku
-Maswali na majibu (muendelezo) kuhusu kilichofundishwa.

join the group via this link.
https://chat.whatsapp.com/K4l8gRnoa8X9753hCBaj2k

Je, unajua fursa ya kutengeneza maisha yako iko mikononi mwako?

Hebu jiulize juu ya nafasi yako ya mafanikio, kipato cha ziada, kufurahia maisha na kuwa na mtandao mpana wa wajasiriamali waliofanikiwa!

Yaonekana kuwa ni ndoto lakini sasa si ndoto tena na NAFASI HII NI YAKO!

Karibu tujumuike wote kwenye kutengeneza pesa, kupendeza na kufurahia maisha.

Changamoto ni nyingi lakini suluhisho lake limepatikana na liko katika mikono yako na UAMUZI UTAKAOAMUA SASA NDIO NJIA YAKO YA MATARAJIO KUHUSU MAFANIKIO YAKO.

Nakualika ujiunge nami katika mafunzo ya namna ya kutengeneza kipato cha ziada, UWE UMEAJIRIWA/UMEJIAJIRI/HUNA AJIRA bado unaweza kutengeneza nafasi ya mafanikio yako.

Chukua hatua sasa na JIAMINI katika kutatua matatizo yako kupitia fursa hii ambayo USIKUBALI IKUPITE.

Karibu ujiunge kwenye mafunzo haya kupitia group la Whatsapp
jumamosi&jumapili hii (0768642161)

FURSA NI SASA NA MAFANIKIO NI WEWE.

-Kampuni ina uzoefu wa miaka zaidi ya 45
-kampuni INA bidhaa zaidi ya 1000 zinazotengenezwa nchini Sweden
-kuna bidhaa zaidi ya 400 zinazotengenezwa kila mwaka
- Bidhaa zetu ni rahisi kutumia na kuuza pia